Swali: Je, mtu ambaye ameokota kilichopotea anaweza kumtaka mmiliki kiangazamacho?
Jibu: Hapana. Asimtake mmiliki kitu. Hapana neno ikiwa mmiliki yeye mwenyewe akaamua kukupa kiangazamacho, lakini haifai wewe ukamwomba kitu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
- Imechapishwa: 04/03/2022
Swali: Je, mtu ambaye ameokota kilichopotea anaweza kumtaka mmiliki kiangazamacho?
Jibu: Hapana. Asimtake mmiliki kitu. Hapana neno ikiwa mmiliki yeye mwenyewe akaamua kukupa kiangazamacho, lakini haifai wewe ukamwomba kitu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
Imechapishwa: 04/03/2022
https://firqatunnajia.com/anaomba-kiangazamacho/