Swali: Mwanamke alikuwa mnaswara na baadaye akasilimu, lakini mume wake akaendelea kuwa mnaswara. Mwanamke huyu anaogopa kudhihirisha Uislamu wake, kwa sababu anatambua kuwa atafukuzwa nyumbani na kufikwa na matatizo. Anaweza kupinda kwa sababu hiyo. Je, ni katika kufanya moja kati ya mambo mawili lenye madhara kidogo akabaki naye mpaka pale Allaah atampa ufumbuzi?
Jibu: Hapana. Asibaki naye. Eda ikimalizika kabla ya yeye kusilimu, basi anatengana naye.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
- Imechapishwa: 21/07/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)