Anamfuata imamu katika swalah akiwa nyumbani kwake

248 – Nikamuuliza kuhusu kitendo cha baadhi ya watu wanaoswali nyumbani na wanamuona imamu?

Jibu: Haijuzu. Hapaswi kukosa swalah ya mkusanyiko. Kama yuko peke yake aswali peke yake. Ikiwa yuko pamoja na kundi, basi swalah inasihi licha ya kwamba anapata dhambi, kwa sababu ya kukosa swalah ya mkusanyiko.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 96
  • Imechapishwa: 09/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´