Swali: Je, analipwa thawabu anayeendelea kuishi na mke wake wa kwanza ambaye ni tasa na asimuoe mwanamke mwingine juu yake?
Jibu: Kuhusu kwamba analipwa thawabu Allaah ndiye mjuzi zaidi… hapana vibaya [kuishi naye]. Kuoa mke wa pili sio lazima isipokuwa ikiwa anachelea juu ya nafsi yake kuishi naye hakumlindi na machafu. Katika hali hiyo atalazimika kuoa mke wa pili, wa tatu au wa nne akiwa na uwezo. Hapo ni pale anapochelea machafu na mtihani. Lakini ni sawa ikiwa shahawa zake ni dhaifu na mwanamke mmoja anamtosha.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23901/هل-يوجر-من-اكتفى-بزوجة-لم-تنجب
- Imechapishwa: 30/05/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)