Swali: Ni ipi hukumu ya kukusanya swalah kwa mfano Dhuhr na ´Aswr kwa sababu ya maumivu makali?
Jibu: Ikiwa kuswali kila swalah ya faradhi kwa wakati wake kunakupa usumbufu na kwamba kukusanya kati ya Dhuhr na ´Aswr, Maghrib na ´Ishaa kunakupumzisha kutokamana na maumivu hayo, basi hakuna kizuizi.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/حكم-جمع-الصلاتين-بعد-الإجهاض-بسبب-الشعور-بآلام-شديدة
- Imechapishwa: 12/06/2022
Swali: Ni ipi hukumu ya kukusanya swalah kwa mfano Dhuhr na ´Aswr kwa sababu ya maumivu makali?
Jibu: Ikiwa kuswali kila swalah ya faradhi kwa wakati wake kunakupa usumbufu na kwamba kukusanya kati ya Dhuhr na ´Aswr, Maghrib na ´Ishaa kunakupumzisha kutokamana na maumivu hayo, basi hakuna kizuizi.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/حكم-جمع-الصلاتين-بعد-الإجهاض-بسبب-الشعور-بآلام-شديدة
Imechapishwa: 12/06/2022
https://firqatunnajia.com/anakusanya-swalah-baada-ya-mimba-kuharibika/