Anakataa mirathi aliyoacha anausiwa

Swali: Kuna mtu aliacha anausiwa apewe mirathi ya mtu lakini hakuikubali?

Jibu: Akikataa inarudi kwa waridhi.

Swali: Inarudi kwa warithi au katika wizara ya fedha ya waislamu?

Jibu: Hapana, inarudi kwa warithi. Warithi wa ambaye aliacha anausia.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22213/حكم-الوصية-اذا-لم-يقبلها-الموصى-له
  • Imechapishwa: 12/11/2022