Anafuga nywele za kichwa na kunyoa ndevu

Swali: Baadhi ya watu wanafuga nywele za kichwani na wananyoa ndevu zao.

Jibu: Kufuga ni kitu kimoja na kunyoa ndevu ni kitu kingine. Kunyoa ndevu ni haramu. Kufuga nywele za kichwani ni jambo linalofaa na sio haramu. Sio jambo Shari´ah iliokokotezwa. Lakini kunyoa ndevu ni haramu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24105/حكم-من-يربي-شعر-راسه-ويحلق-لحيته
  • Imechapishwa: 29/08/2024