Swali: Mwenye kumwingilia mke wake kwenye tupu yake ya nyuma kisha akatubia juu ya hilo amtaliki au amwache?
Jibu: Tawbah inafuta yaliyotangulia. Akitubia tawbah ya kweli na akaacha mchezo huu mbaya, Allaah anamsamehe na mke wake haachiki kwa jambo hilo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
- Imechapishwa: 03/07/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
Kuishi na mke aliyemtukana Allaah
Swali: Katika mji wetu kuna ada ilioenea ya dhambi kubwa ambayo ni kutukana dhati ya Allaah. Ni ipi hukumu ya Uislamu kwa hili? Je, mke mwenye kufanya hivi atalikiwe ilihali hakubali hili? Jibu: Kutukana dhati ya Allaah ni dhambi kubwa kabisa, bali ni kuritadi kutoka katika Uislamu. Ni wajibu kwa mwenye…
In "Aina mbalimbali za kuritadi"

Duyyuuth ni nani kwa mtazamo wa Kiislamu?
https://www.youtube.com/watch?v=SN6MQYSkzWc Swali: Je, Duyyuuth ni yule ambaye anaelezea yanayopitika baina yake yeye na mke wake kitandani au ni nani Duyyuuth kwa mtazamo sahihi wa Kiislamu? Jibu: Duyyuuth ni yule ambaye anaridhia machafu ya mke wake, anaridhia kuchukuliwa mke wake, anaridhia mke wake kufanywa Zinaa. Huyu ndiye Duyyuuth. Ni yule ambaye…
In "Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz"
Haijuzu kuchelewesha tawbah
Swali: Kuna mtu ameweka nadhiri ya kuacha kuvuta sigara wakati ambapo Allaah atamruzuku mke wake kushika mimba... Jibu: Haijuzu kuchelewesha tawbah na kusema ntatubu huko mbeleni nikipata kadhaa. Hili halijuzu. إِنَّمَا التَّوْبَةُ عَلَى اللَّـهِ لِلَّذِينَ يَعْمَلُونَ السُّوءَ بِجَهَالَةٍ ثُمَّ يَتُوبُونَ مِن قَرِيبٍ "Hakika si venginevyo tawbah inayopokelewa na Allaah ni ya…
In "Madhambi na tawbah"