Swali: Wanandoa wakiandikiana sharti wakati wa kufunga ndoa ambapo mke akamshurutisha kutomzuia kumwekea mfanya kazi wa kike. Baada ya hapo mume akaenda kinyume na sharti hiyo. Ni ipi hukumu?

Jibu: Ni haramu kufanya hivo. Waislamu wanatakiwa kutekeleza sharti zao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 29/11/2020