Ameweka nadhiri ya kutoa swadaqah mali yake yote

Swali 631: Ni ipi hukumu ya mwenye kuweka nadhiri ya kutoa swadaqah mali yake yote?

Jibu: Inatosha kutoa theluthi yake kutokana na Hadiyth ya Abu Lubaabah:

“Theluthi moja inakutosheleza.”

Vilevile kutokana na maneno yake (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) katika Hadiyth ya Sa’d (Radhiya Allaahu ´anh):

“Theluthi ni nyingi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 224
  • Imechapishwa: 15/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´