Swali: Kuna mtu ambaye alikuwa ni mjinga juu ya hukumu za kupangusa juu ya khufuu na ndio maana akawa anapangusa juu ya khufuu zake siku mbili kwa muda wa miezi miwili wakati alipokuwa katika mji wake. Ni ipi hukumu ya swalah zake zilizotangulia?
Jibu: Sio sahihi. Wajibu wa wudhuu´ hauanguki kwa kusahau. Wajibu hauanguki kwa kusahau. Ni wajibu kuutekeleza. Wudhuu´ ni sharti miongoni mwa masharti ya swalah. Hauanguki kwa kusahau au kwa kutokujua. Ni lazima kuzirudi swalah zake.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Kuna mtu ambaye alikuwa ni mjinga juu ya hukumu za kupangusa juu ya khufuu na ndio maana akawa anapangusa juu ya khufuu zake siku mbili kwa muda wa miezi miwili wakati alipokuwa katika mji wake. Ni ipi hukumu ya swalah zake zilizotangulia?
Jibu: Sio sahihi. Wajibu wa wudhuu´ hauanguki kwa kusahau. Wajibu hauanguki kwa kusahau. Ni wajibu kuutekeleza. Wudhuu´ ni sharti miongoni mwa masharti ya swalah. Hauanguki kwa kusahau au kwa kutokujua. Ni lazima kuzirudi swalah zake.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/ameswali-miezi-miwili-kwa-mpanguso-usiokuwa-sahihi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)