Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kusahau du´aa ya kufungulia swalah na akaja kuikumbuka katika Rak´ah ya pili, je, ailete?
Jibu: Imepita mahala pake. Ni Sunnah na sio wajibu. Hata kama utaiacha kwa kukusudia huna juu yako kitu. Hii imeshapita mahali pake. Asiileti katika Rak´ah ya pili.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (70) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-06.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kusahau du´aa ya kufungulia swalah na akaja kuikumbuka katika Rak´ah ya pili, je, ailete?
Jibu: Imepita mahala pake. Ni Sunnah na sio wajibu. Hata kama utaiacha kwa kukusudia huna juu yako kitu. Hii imeshapita mahali pake. Asiileti katika Rak´ah ya pili.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (70) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-06.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/amesahau-kusoma-duaa-ya-kufungulia-swalah/