Swali: Nimesahau kuswali ´Ishaa na nimekuja kuikumbuka saa moja kabla ya swalah ya Fajr. Katika hali hii niiswali?
Jibu: Ndio. Wakati wa ´ishaa unabaki mpaka kupambazuke alfajiri. Mwenye kuwahi Rak´ah moja katika swalah ya ´ishaa kabla ya kuingia Fajr ameiwahi swalah ya ´ishaa. Aharakishe kuiswali.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (71) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-13.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)