Swali: Allaah (Ta´ala) amesema:

وَرَفَعْنَاهُ مَكَانًا عَلِيًّا

“Tukamuinua daraja ya juu.”[1]

Ni ipi maana ya Aayah hii?

Jibu: Baadhi yao wamesema kuwa amenyanyuliwa mbinguni. Lakini hili linahitajia dalili. Ikithibiti ni sawa. Inaweza vilevile ikawa ni unyanyuliwa wa kimaana.

[1] 19:57

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (23)
  • Imechapishwa: 14/11/2021