Swali: Je, kunaingia katika zile aina ya nadhiri za haramu ambaye atamuwekea nadhiri aliye hai kwa kusema:
“Nalazimika kuwachinjia kadhaa endapo nitapewa ajira.”?
Jibu: Hii sio nadhiri. Hii ni ahadi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18262
- Imechapishwa: 14/11/2021
Swali: Je, kunaingia katika zile aina ya nadhiri za haramu ambaye atamuwekea nadhiri aliye hai kwa kusema:
“Nalazimika kuwachinjia kadhaa endapo nitapewa ajira.”?
Jibu: Hii sio nadhiri. Hii ni ahadi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18262
Imechapishwa: 14/11/2021
https://firqatunnajia.com/ahadi-na-sio-nadhiri/