Amenuia kutia upya wudhuu´ lakini kasahau

Swali: Mtu akiwa na wudhuu´ kisha akanuia kutia upya wudhuu´ wake, lakini hakufanya na akaswali kwa ule wudhuu´ wake wa kwanza – je, swalah yake ni sahihi?

Jibu: Ndio, midhali wudhuu´ wake haukuchenguka swalah yake ni sahihi. Kutia upya wudhuu´ sio lazima.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (99) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86-10-07-1440%D9%87%D9%80_0.mp3
  • Imechapishwa: 19/07/2019