Swali: Mwanaume amemuoa mwanamke na akakaa naye chemba ambapo baadaye akamtaliki kabla ya kumjamii. Je, anastahiki kupewa mahari kamili?
Jibu: Ndio. Akikaa naye chemba na kujimakinisha kwake, basi analazimika kumpa mahari kamili.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
- Imechapishwa: 11/08/2023