Amekumbuka swalah aliyokosa akiwa ndani ya swalah

Swali: Mtu afanye nini ikiwa anaswali ´Aswr ambapo akakumbuka swalah aliyokosa?

Jibu: Aikate na aanze kuswali mpya kwa nia swalah aliyokosa. Aikate swalah hiyo na aanze kuswali mpya kwa nia swalah aliyokosa na alipe swalah aliyokosa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25234/ماذا-يعمل-من-تذكر-صلاة-فاىتة-وهو-يصلي-فريضة
  • Imechapishwa: 21/02/2025