Swali: Wakati imamu alipokuwa anaswali Maghrib akakumbuka kuwa hajaswali ´Aswr. Afanye nini katika hali hiyo?
Jibu: Ataendelea kuswali Maghrib. Wakati atakapomaliza kuswali Maghrib, ataswali ´Aswr. Hapo itasihi ´Aswr yake. Haimlazimu kukata swalah yake – na wala haijuzu kwake kufanya hivo. Kwa sababu yule anayeanza faradhi analazimika kuikamilisha isipokuwa kama kuna udhuru unaokubalika katika Shari´ah.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/219)
- Imechapishwa: 17/04/2026
Swali: Wakati imamu alipokuwa anaswali Maghrib akakumbuka kuwa hajaswali ´Aswr. Afanye nini katika hali hiyo?
Jibu: Ataendelea kuswali Maghrib. Wakati atakapomaliza kuswali Maghrib, ataswali ´Aswr. Hapo itasihi ´Aswr yake. Haimlazimu kukata swalah yake – na wala haijuzu kwake kufanya hivo. Kwa sababu yule anayeanza faradhi analazimika kuikamilisha isipokuwa kama kuna udhuru unaokubalika katika Shari´ah.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/219)
Imechapishwa: 17/04/2026
https://firqatunnajia.com/amekumbuka-kuwa-hajaswali-aswr-alipokuwa-anaswali-maghrib/