Swali: Kuna mtu ameswali Dhuhr, ´Aswr, Maghrib na ´Ishaa. Siku ya pili akagundua kuwa aliswali hali ya kuwa na janaba. Je, arudi kuswali swalah hizo?
Jibu: Ndio, swalah zote ambazo aliswali bila ya kuoga janaba ni wajibu azirudi kwa kuwa sio sahihi. Hapa ni pale ambapo ikiwa ndoto yake alitokwa na manii. Ama ikiwa aliota bila ya kutokwa na kitu, hahitajii kuoga. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Maji yanatokamana na maji.”
Hili linahusiana na kuota.
Mwenye kuota jimaa usingizini akiona athari ametokwa na kitu anatakiwa kuoga. Ikiwa hakuona kitu kimechotoka, hahitajii kuoga.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2105
- Imechapishwa: 30/06/2020
Swali: Kuna mtu ameswali Dhuhr, ´Aswr, Maghrib na ´Ishaa. Siku ya pili akagundua kuwa aliswali hali ya kuwa na janaba. Je, arudi kuswali swalah hizo?
Jibu: Ndio, swalah zote ambazo aliswali bila ya kuoga janaba ni wajibu azirudi kwa kuwa sio sahihi. Hapa ni pale ambapo ikiwa ndoto yake alitokwa na manii. Ama ikiwa aliota bila ya kutokwa na kitu, hahitajii kuoga. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Maji yanatokamana na maji.”
Hili linahusiana na kuota.
Mwenye kuota jimaa usingizini akiona athari ametokwa na kitu anatakiwa kuoga. Ikiwa hakuona kitu kimechotoka, hahitajii kuoga.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2105
Imechapishwa: 30/06/2020
https://firqatunnajia.com/amekumbuka-kuwa-aliswali-na-janaba/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)