Swali: Nisipopata masikini wa kuwapa kafara juu ya kiapo changu licha ya kwamba niko na pesa. Je, inafaa badala yake kufunga?
Jibu: Hapana. Ikiwa hakuna masikini katika mji wako kuna masikini katika miji mingine au unaweza kuwakilisha mmoja katika ndugu zako akutolee chakula kuwapa katika miji ambayo kuna masikini.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
- Imechapishwa: 28/06/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)