Swali: Kuna mwanafunzi aliweka nadhiri kwamba akifaulu basi atafunga siku ya alkhamisi inayofuata mpaka alkhamisi nyingine. Alipofaulu akaanza kufunga siku ya alkhamisi na ijumaa. Lakini hata hivyo akasafiri siku ya jumamosi ambapo ikambidi afungue. Je, afunge badala yake wiki nyingine?
Jibu: Ndio. Ni lazima kwake kulipa pamoja na kutubia na kuomba msamaha. Afunge idadi ya yale masiku aliyokula.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (09) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191370#219699
- Imechapishwa: 08/03/2019
Swali: Kuna mwanafunzi aliweka nadhiri kwamba akifaulu basi atafunga siku ya alkhamisi inayofuata mpaka alkhamisi nyingine. Alipofaulu akaanza kufunga siku ya alkhamisi na ijumaa. Lakini hata hivyo akasafiri siku ya jumamosi ambapo ikambidi afungue. Je, afunge badala yake wiki nyingine?
Jibu: Ndio. Ni lazima kwake kulipa pamoja na kutubia na kuomba msamaha. Afunge idadi ya yale masiku aliyokula.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (09) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191370#219699
Imechapishwa: 08/03/2019
https://firqatunnajia.com/amekata-nadhiri-ya-swawm-kwa-sababu-ya-safari/