Swali: Je, ni lazima kumpiga mzinzi aliyeoa viboko pamoja na kupigwa mawe? Ni upi msimamo wako kuhusu sababu zinazopelekea zinaa, kama vile ala za michezo ya anasa, nyimbo na muziki vinavyotokea katika redio za Kiislamu?
Jibu: Hakuna udhuru katika hilo kwake. Ni juu yake kujiepusha navyo na ajihadhari navyo katika redio na katika TV. Kuwepo kwa nyimbo katika TV, ala za anasa au kujifunua kwa baadhi ya wanawake si udhuru wa kufanya zinaa. Bali hayo ni miongoni mwa sababu za zinaa, si udhuru. Ni wajibu ajihadhari na haya, asivitumie vitu hivyo na wala asiviangalie. Bali apambanae na nafsi yake. Akifanya zinaa na ikathibitika juu yake zinaa kwa kukiri au kwa ushahidi, basi atapigwa mawe ikiwa ameshawahi kuingia ndani ya ndoa. Haijalishi kitu hata kama atasema kuwa amefanya hivo kwa sababu ya yeye kuangalia TV au kwa sababu ya yeye kusikiliza redio! Nani aliyekuambia usikilize? Na nani aliyekuambia uangalie? Wewe ndiye uliyojidhulumu nafsi yako. Lengo ni kwamba haya si udhuru. Anapokiri kwa kufanya uchafu kwa zinaa au ikathibitika kwa ushahidi unaokubalika katika Shari´ah; mashahidi wanne, basi ni wajibu atekelezwe adhabu yake. Akiwa ni bikira, basi apigwe viboko mia moja na apelekwe uhamishoni mwaka mmoja. Akiwa ameshawahi kuingia ndani ya ndoa, basi apigwe mawe mpaka afe.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1745/الموقف-من-الاسباب-المودية-الى-الزنا-وحد-الزاني
- Imechapishwa: 03/07/2026
Swali: Je, ni lazima kumpiga mzinzi aliyeoa viboko pamoja na kupigwa mawe? Ni upi msimamo wako kuhusu sababu zinazopelekea zinaa, kama vile ala za michezo ya anasa, nyimbo na muziki vinavyotokea katika redio za Kiislamu?
Jibu: Hakuna udhuru katika hilo kwake. Ni juu yake kujiepusha navyo na ajihadhari navyo katika redio na katika TV. Kuwepo kwa nyimbo katika TV, ala za anasa au kujifunua kwa baadhi ya wanawake si udhuru wa kufanya zinaa. Bali hayo ni miongoni mwa sababu za zinaa, si udhuru. Ni wajibu ajihadhari na haya, asivitumie vitu hivyo na wala asiviangalie. Bali apambanae na nafsi yake. Akifanya zinaa na ikathibitika juu yake zinaa kwa kukiri au kwa ushahidi, basi atapigwa mawe ikiwa ameshawahi kuingia ndani ya ndoa. Haijalishi kitu hata kama atasema kuwa amefanya hivo kwa sababu ya yeye kuangalia TV au kwa sababu ya yeye kusikiliza redio! Nani aliyekuambia usikilize? Na nani aliyekuambia uangalie? Wewe ndiye uliyojidhulumu nafsi yako. Lengo ni kwamba haya si udhuru. Anapokiri kwa kufanya uchafu kwa zinaa au ikathibitika kwa ushahidi unaokubalika katika Shari´ah; mashahidi wanne, basi ni wajibu atekelezwe adhabu yake. Akiwa ni bikira, basi apigwe viboko mia moja na apelekwe uhamishoni mwaka mmoja. Akiwa ameshawahi kuingia ndani ya ndoa, basi apigwe mawe mpaka afe.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1745/الموقف-من-الاسباب-المودية-الى-الزنا-وحد-الزاني
Imechapishwa: 03/07/2026
https://firqatunnajia.com/ameingia-katika-uzinzi-na-anasingizia-tv-na-redio/