Swali: Akiswali mtu hali ya kuwa na janaba na hakujua jambo hilo isipokuwa baada ya kumaliza kuswali. Ni kipi kinachomlazimu?

Jibu: Ni lazima kwake kuoga na kuirudia tena swalah yake, kwa sababu swalah yake ya kwanza si sahihi.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 05/07/2024