Swali: Kuna mtu amefungua kwa sababu ya kutokwa na manii baada ya kubusu na mengine mfano wake. Je, analazimika kulipa na kutoa kafara au kipi kinachomlazimu?
Jibu: Analazimika kulipa peke yake.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/أفطر-بسبب-تقبيل
- Imechapishwa: 12/06/2022
Swali: Kuna mtu amefungua kwa sababu ya kutokwa na manii baada ya kubusu na mengine mfano wake. Je, analazimika kulipa na kutoa kafara au kipi kinachomlazimu?
Jibu: Analazimika kulipa peke yake.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/أفطر-بسبب-تقبيل
Imechapishwa: 12/06/2022
https://firqatunnajia.com/amefungua-kwa-sababu-ya-kubusu/