Amefanya Hijjah peke yake na akataka kufanya ´Umrah baada yake

Swali: Mtu aliyefanya Hijjah peke yake na akataka kufanya ´Umrah baada ya Hijjah anatakiwa kuhiramia kutoka Tan’iym au kutoka kwenye kituo?

Jibu: Anatakiwa kuhiramia kutoka Tan’iym, kama alivyofanya ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa). Kufanya hivo inatosha. Kwa msemo mwingine kutoka nje ya Haram.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24955/ما-حكم-من-اتى-بالحج-مفردا-واراد-عمرة-بعده
  • Imechapishwa: 11/01/2025