Ni lini anayefanya Tamattu´ anasimamisha Talbiyah?

Swali: Je, mtu anayefanya Tamattu’ baada ya kumaliza ´Umrah yake anakata Talbiyah hadi atakapoingia kwenye Hijjah?

Jibu: Anakata Talbiyah pale anapoanza ´Umrah. Halafu anapohiramia kwa ajili ya Hijjah baada ya hapo anaanza tena Talbiyah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24957/متى-يقطع-المتمتع-التلبية
  • Imechapishwa: 11/01/2025