Swali: Niliapa juu ya mke wangu asihudhurie harusi ya binti wa shangazi yangu au binti wa shangazi yake na nikamwambia kwamba akihudhuria basi asiishi nami tena nyumbani. Lakini niliposafiri kutoka Yemen kwenda Saudi Arabia nikapata khabari kwamba alihudhuria harusi hiyo na huku akiwa katika nchi nyingine. Natakiwa nichukue msimamo gani juu ya hilo?
Jibu: Ikiwa ulikusudia talaka, kwa maana kwamba akihudhuria basi atakuwa ametalikiwa, basi talaka moja imepita. Lakini ikiwa hukukusudia talaka, bali ulikusudia kumtisha na kumwonya tu, basi hakuna talaka juu yako. Bali unalazimika kutoa kafara ya kiapo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3299/حكم-من-اقسم-على-زوجته-ان-لا-تحضر-عرسا-فحضرته
- Imechapishwa: 08/08/2026
Swali: Niliapa juu ya mke wangu asihudhurie harusi ya binti wa shangazi yangu au binti wa shangazi yake na nikamwambia kwamba akihudhuria basi asiishi nami tena nyumbani. Lakini niliposafiri kutoka Yemen kwenda Saudi Arabia nikapata khabari kwamba alihudhuria harusi hiyo na huku akiwa katika nchi nyingine. Natakiwa nichukue msimamo gani juu ya hilo?
Jibu: Ikiwa ulikusudia talaka, kwa maana kwamba akihudhuria basi atakuwa ametalikiwa, basi talaka moja imepita. Lakini ikiwa hukukusudia talaka, bali ulikusudia kumtisha na kumwonya tu, basi hakuna talaka juu yako. Bali unalazimika kutoa kafara ya kiapo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3299/حكم-من-اقسم-على-زوجته-ان-لا-تحضر-عرسا-فحضرته
Imechapishwa: 08/08/2026
https://firqatunnajia.com/ameapa-kuwa-mke-wake-akienda-harusini-asirudi-nyumbani/