Swali: Kumepita wiki nzima siswali, baadaye nikatubu kwa Allaah. Hata hiyo imenikuia ugumu kwangu kuzilipa. Je, kipi kinachoniwajibikia?

Jibu: Wiki moja sio ngumu. Ni wajibu kwako kuzilipa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 16/11/2023