Ambaye anaweza kusimama tu kwa kuegemea kitu

229 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu mtu ambaye hawezi kusimama isipokuwa kwa kuegemea fimbo. Je, ni wajibu kufanya hivyo?

Jibu: Ndiyo, kwa sababu ni muweza.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 93
  • Imechapishwa: 02/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´