Swali: Wale ambao hawajafikiwa na Ujumbe katika zama hizi wanahukumiwa kama Ahl-ul-Fatrah?
Jibu: Hao si waislamu wala makafiri, jambo lao liko mikononi mwa Allaah. Ahl-ul-Fatrah jambo lao liko kwa Allaah. Wao si waislamu wala makafiri, jambo lao liko kwa Allaah.
Swali: Mtu aliye kati ya waislamu na anasikia Qur-aan inawezekana siku ya Qiyaamah kuingizwa kwenye mtihani kama watu wa kipindi kilicho kati ya Mitume?
Jibu: Yule ambaye Uislamu haujamfikia, atajaribiwa. Yule ambaye Uislamu umemfikia, hatojaribiwa, kwani hoja imekwishasimama juu yake.
Swali: Vipi ikiwa yupo kati ya waislamu?
Jibu: Jambo lao liko mikononi mwa Allaah. Kwa upande wetu hoja imekwishamsimamia na Allaah ndiye atakayeamua nini cha kuwafanya. Allaah anamjua zaidi. Kwa upande wetu, yule ambaye hoja imekwishamsimamia, basi imekwisha. Hoja ni Qur-aan na Sunnah.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31467/ما-حكم-من-لم-تصلهم-الدعوة-في-هذا-العصر
- Imechapishwa: 27/10/2025
Swali: Wale ambao hawajafikiwa na Ujumbe katika zama hizi wanahukumiwa kama Ahl-ul-Fatrah?
Jibu: Hao si waislamu wala makafiri, jambo lao liko mikononi mwa Allaah. Ahl-ul-Fatrah jambo lao liko kwa Allaah. Wao si waislamu wala makafiri, jambo lao liko kwa Allaah.
Swali: Mtu aliye kati ya waislamu na anasikia Qur-aan inawezekana siku ya Qiyaamah kuingizwa kwenye mtihani kama watu wa kipindi kilicho kati ya Mitume?
Jibu: Yule ambaye Uislamu haujamfikia, atajaribiwa. Yule ambaye Uislamu umemfikia, hatojaribiwa, kwani hoja imekwishasimama juu yake.
Swali: Vipi ikiwa yupo kati ya waislamu?
Jibu: Jambo lao liko mikononi mwa Allaah. Kwa upande wetu hoja imekwishamsimamia na Allaah ndiye atakayeamua nini cha kuwafanya. Allaah anamjua zaidi. Kwa upande wetu, yule ambaye hoja imekwishamsimamia, basi imekwisha. Hoja ni Qur-aan na Sunnah.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31467/ما-حكم-من-لم-تصلهم-الدعوة-في-هذا-العصر
Imechapishwa: 27/10/2025
https://firqatunnajia.com/ambao-hawajafikiwa-na-ujumbe-hii-leo/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket