Swali: Kufuru na imani vimeumbwa?

Jibu: Ni katika viumbe vya Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala).

اللَّـهُ خَالِقُ كُلِّ شَيْءٍ

“Allaah ndiye Muumbaji wa kila kitu.” (39:62)

Allaah ameumba imani na kufuru kwa hekima. Ameumba, akakadiria na akafanya kupatikana imani na kufuru kutokana na hekima [aijuayo].

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14331228.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015