Swali: Imethibiti ya kwamba baadhi ya waumini watamuona Allaah (Jalla wa ´Alaa) mara mbili; asubuhi na jioni au kumuona itakuwa mara moja tu kila siku ya Ijumaa?

Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi. Kilichothibiti ni [kuonekana] kila ijumaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (09) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-4-3.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020