Swali: Imethibiti miongoni mwa sifa za Allaah (Ta´ala) ya kwamba anatembea?
Jibu: Sifa iliyothibiti katika Qur-aan ni kwamba anakuja. Kuhusu kutembea sijui lolote kuhusiana na hii. Anakuja vile anavotaka. Atakuja siku ya Qiyaamah vile anavotaka. Hatuifasiri kuwa ni kutembea na kadhalika. Allaah ndiye anajua zaidi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-23.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Imethibiti miongoni mwa sifa za Allaah (Ta´ala) ya kwamba anatembea?
Jibu: Sifa iliyothibiti katika Qur-aan ni kwamba anakuja. Kuhusu kutembea sijui lolote kuhusiana na hii. Anakuja vile anavotaka. Atakuja siku ya Qiyaamah vile anavotaka. Hatuifasiri kuwa ni kutembea na kadhalika. Allaah ndiye anajua zaidi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-23.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/allaah-anasifiwa-kutembea/