Allaah anasifiwa kukasirika na hasifiwi kuwa ni mwenye kuhuzunika. Kwa sababu huzuni ni upungufu. Kughadhibika mahala pake ni ukamilifu.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (01/274)
- Imechapishwa: 27/04/2023