Swali: Kuna yeyote katika Ahl-us-Sunnah aliyemthibitishia Allaah kuwa na sifa ya harakati?
Jibu: Enyi ndugu zangu! Kwa nini mnapekua mambo haya? Hakukuthibiti neno harakati si kwenye Qur-aan wala Sunnah. Sisi hatusemi juu ya Allaah isipokuwa yaliyothibiti kwenye Qur-aan au Sunnah. Acheni mambo haya. Kitu ambacho hakikuja katika Qur-aan na Sunnah kiacheni.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (02)
- Imechapishwa: 31/05/2015
Swali: Kuna yeyote katika Ahl-us-Sunnah aliyemthibitishia Allaah kuwa na sifa ya harakati?
Jibu: Enyi ndugu zangu! Kwa nini mnapekua mambo haya? Hakukuthibiti neno harakati si kwenye Qur-aan wala Sunnah. Sisi hatusemi juu ya Allaah isipokuwa yaliyothibiti kwenye Qur-aan au Sunnah. Acheni mambo haya. Kitu ambacho hakikuja katika Qur-aan na Sunnah kiacheni.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (02)
Imechapishwa: 31/05/2015
https://firqatunnajia.com/allaah-anasifika-kufanya-harakati-2/