Swali: Aliyerogwa anapewa udhuru kwa yale anayofanya au anazingatiwa kuwa ni mwenye kusamehewa na haandikiwi madhambi?
Jibu: Akili na kufikiria kwake kukiondoka kwa sababu ya uchawi haandikiwi. Ama akiwa na akili na kufikiria anaandikiwa kwa kiasi cha akili na kule kufikiria alikonako.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam (07) http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/07.mp3
- Imechapishwa: 06/01/2019
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket