Aliyekunywa mkojo adhabu yake ni kama ya aliyekunywa pombe?

Swali: az-Zuhriy amesema kuhusu mkojo kwamba hairuhusiwa kunywa mkojo wa watu kutokana na shida iliyozuka, kwa sababu mkojo ni najisi. Je, ni kipimo kinachotumiwa juu ya pombe?

Jibu: Inafahamisha kuwa haoni kufaa kutumia kipimo juu ya vitu vya haramu. Hakuna kipimo katika mambo ya haramu. Mtu atosheke juu yake kwa yale mambo yaliyopokelewa.

Swali: az-Zuhriy ametaka kutumia kipimo?

Jibu: Makusudio yake ni kwamba mkojo usitumiwe kipimo juu ya nyamafu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24032/هل-يقاس-شرب-البول-اضطرارا-على-المسكر
  • Imechapishwa: 23/08/2024