Swali: Ikiwa mtu hakufuniki bega hata moja katika swalah kwa sababu ya kutojua, je, swalah yake inabatilika?
Jibu: Swalah yake ni sahihi. Ikiwa amefunika mabega yote mawili au moja tu, inatosha – Allaah akitaka. Sunnah ni kufunika mabega yote mawili. Lililo wajibu ni kufunika bega moja au yote mawili. Ikiwa atafunika bega moja inatosha. Hii ni kwa sababu imekuja katika Hadiyth Swahiyh:
”Asiswali mmoja wenu katika nguo moja hali ya kuwa hakuna kitu juu ya bega lake.”
Kwa hiyo akiweka kitu juu ya bega lake moja au juu ya mabega yote mawili, inakuwa ni kamilifu zaidi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiweka nguo yake ya juu ya mabega yake mawili.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/347)
- Imechapishwa: 14/03/2026
Swali: Ikiwa mtu hakufuniki bega hata moja katika swalah kwa sababu ya kutojua, je, swalah yake inabatilika?
Jibu: Swalah yake ni sahihi. Ikiwa amefunika mabega yote mawili au moja tu, inatosha – Allaah akitaka. Sunnah ni kufunika mabega yote mawili. Lililo wajibu ni kufunika bega moja au yote mawili. Ikiwa atafunika bega moja inatosha. Hii ni kwa sababu imekuja katika Hadiyth Swahiyh:
”Asiswali mmoja wenu katika nguo moja hali ya kuwa hakuna kitu juu ya bega lake.”
Kwa hiyo akiweka kitu juu ya bega lake moja au juu ya mabega yote mawili, inakuwa ni kamilifu zaidi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiweka nguo yake ya juu ya mabega yake mawili.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/347)
Imechapishwa: 14/03/2026
https://firqatunnajia.com/alikuwa-hajui-kuwa-anapaswa-kufunika-mabega-wakati-wa-swalah/