Swali: Unasamaje juu ya kitabu ”al-Jaamiy´-us-Swahiyh min Dalaail-in-Nubuwwah” cha Shaykh Muqbil al-Waadi´iy?

Jibu: Sijakisoma. Lakini Shaykh ni mtu mwenye kuaminika na ana elimu. Alisoma chuo kikuu cha Kiislamu na ni mlinganizi kwa Allaah. Allaah amenufaisha kupitia kwake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=FG-aRK6L2vc
  • Imechapishwa: 12/11/2022