al-Mawduudiy – mmoja katika maimamu wa Ahl-ul-Bid´ah

Swali: Je, Abul-A´laa al-Mawduudiy anahesabika kuwa ni katika maimamu wa Uislamu?

Jibu: Kuna Tashayyu’ ya wazi kwake. Anahesabika ni mmoja katika maimamu wa watu wa Bid´ah. Allaah Amjaze kheri ndugu mmoja kwa kuandika ”Zawaabi´ fiy Wajh-is-Sunnah” ambapo amefafanua ikiwa ni pamoja na hali ya Abul-A´laa al-Mawduudiy ambaye ni katika wale wanaozishambulia Sunnah za Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kuzipa daraja Hadiyth Swahiyh katika al-Bukhaariy na Muslim kuwa ni dhaifu kwa sababu ya matamanio.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 165
  • Imechapishwa: 22/04/2015