Swali: al-Khadhir ambaye alikuwa pamoja na Muusa (´alayhis-Salaam) alikuwa Mtume au mja mwema?
Jibu: Hakuwa Mtume. Alikuwa mwanachuoni. Allaah alimpa elimu ambayo hakumpa yeyote.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (106) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoul%20lahfan-%2027-03-1441.mp3
- Imechapishwa: 25/09/2020
Swali: al-Khadhir ambaye alikuwa pamoja na Muusa (´alayhis-Salaam) alikuwa Mtume au mja mwema?
Jibu: Hakuwa Mtume. Alikuwa mwanachuoni. Allaah alimpa elimu ambayo hakumpa yeyote.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (106) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoul%20lahfan-%2027-03-1441.mp3
Imechapishwa: 25/09/2020
https://firqatunnajia.com/al-khadhir-alikuwa-mtume/