Swali: Je, ni kweli ya kwamba ulikuwa na mazungumzo kati yako wewe na Abu Ishaaq al-Huwayniy ambapo ulisema kumwambia kwamba ni khaliyfah wako?

Jibu: Hapana, sikumwambia hivo.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (229)
  • Imechapishwa: 18/12/2014