al-Hajuuriy amesema katika mkanda “al-Fitnah Zaalat… “:

“Kunyamazia batili ni khiyana na ni ghushi katika dini. Kuinyamazia kunazingatiwa kuwa ni kuwaghushi waislamu hata kama itakuwa kwa wakati mdogo. Ndugu! Haijuzu kwako kunyamazia batili hata kama itakuwa kwa wakati mdogo kwa kuzingatia ya kwamba utakufa hali ya kuwa ni mwenye kuwaghushi waislamu…. “

Ninaapa kwa Allaah wewe uko katika batili. Ahl-us-Sunnah hawakunyamazia batili. Bali walikunasihi wakakunasihi kwa kuwa uko katika batili. Lakini hakuna usikizi kwa yule anayezungumzishwa.

  • Mhusika: Shaykh ´Arafaat bin Hasan bin Ja´far al-Muhammadiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Bayaan al-Fawriy (02/15-16)
  • Imechapishwa: 22/10/2016