Swali: Sisi tuna walinganizi hapa Algeria ambao wanapendekeza mtu achukue elimu kutoka kwa ´Aliy Hasan bin ´Abdil-Hamiyd al-Halabiy.
Jibu: Naapa kwa Allaah mimi simjui… Hapana! ´Abdul-Hamiyd achaneni naye! Yeye ndiye ambaye analeta madhehebu ya Irjaa´ Saudi Arabia.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=126980
- Imechapishwa: 13/11/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)