Swali: Dufu inatumiwa na wanawake peke yao au ni wanawake pamoja na wanaume?
Jibu: Hapana, inatumiwa na wanawake tu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amewaruhusu wanawake tu. Wanaume wanahitajia dufu ya nini? Wanaume wanakula chakula cha jioni na baada ya hapo kila mmoja anashika njia yake. Hii ni kazi ya wanawake tu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Furqaan (12) http://alfawzan.af.org.sa/node/2055
- Imechapishwa: 13/03/2017
Swali: Dufu inatumiwa na wanawake peke yao au ni wanawake pamoja na wanaume?
Jibu: Hapana, inatumiwa na wanawake tu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amewaruhusu wanawake tu. Wanaume wanahitajia dufu ya nini? Wanaume wanakula chakula cha jioni na baada ya hapo kila mmoja anashika njia yake. Hii ni kazi ya wanawake tu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Furqaan (12) http://alfawzan.af.org.sa/node/2055
Imechapishwa: 13/03/2017
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-wanaume-kutumia-dufu/