Swali: Tumepata taaliki yenye kubainisha kuwa ni taaliki ya Shaykh Muhammad Haamid al-Faqiy iliyokaguliwa na Shaykh Ibn Baaz.
Jibu: Taaliki ya Shaykh Muhammad Haamid sio kama taaliki ya Shaykh Ibn Baaz. Taaliki yake inaweza kuwa na vitu ambavyo vinahitajia kuangaliwa vizuri. Taaliki ya Shaykh Muhammad Haamid inaweza kuwa na vitu ambavyo vinahitajia kuangaliwa vizuri. Alikuwa (Rahimahu Allaah) na ghera juu ya Tawhiyd na kuipenda, lakini anaweza kukosea.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (30) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majd%20-%2019%20-%2010-%20-1436.mp3
- Imechapishwa: 12/02/2017
Swali: Tumepata taaliki yenye kubainisha kuwa ni taaliki ya Shaykh Muhammad Haamid al-Faqiy iliyokaguliwa na Shaykh Ibn Baaz.
Jibu: Taaliki ya Shaykh Muhammad Haamid sio kama taaliki ya Shaykh Ibn Baaz. Taaliki yake inaweza kuwa na vitu ambavyo vinahitajia kuangaliwa vizuri. Taaliki ya Shaykh Muhammad Haamid inaweza kuwa na vitu ambavyo vinahitajia kuangaliwa vizuri. Alikuwa (Rahimahu Allaah) na ghera juu ya Tawhiyd na kuipenda, lakini anaweza kukosea.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (30) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majd%20-%2019%20-%2010-%20-1436.mp3
Imechapishwa: 12/02/2017
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-kuhusu-taaliki-ya-al-faqiy-ya-fath-ul-majiyd/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)