al-Fawzaan kuhusu mwanamke kuswali mikono wazi

Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke kuswali ilihali vitanga vya mikono viko wazi?

Jibu: Ni wajibu. Mwanamke hatakiwi kuonesha kitu isipokuwa uso wake ikiwa kama hakuna mwanaume ambaye sio Mahram wake. Viungo vingine vilivyobaki anatakiwa kuvifunika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (08) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-10-15.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2014