Swali: Ni ipi kauli sahihi kuhusu jini kuingia Peponi?

Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi. Hili si jambo letu.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (09) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-4-3.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020