al-Fawzaan kuhusu mahala pa kuweka mikono baada ya Rukuu´

Swali: Ni wapi mtu anaweka mikono baada ya kuinuka kutoka kwenye Rukuu´?

Jibu: Kama ilivokuwa kabla ya Rukuu´. Kama ilivokuwa kabla ya Rukuu´, ataiweka juu ya kifua chake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-10-08.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014